Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa Treni ya SGR kutokea Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus Wazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais Samia Akutana na Wakuu wa Misheni za Uangalizi wa Chaguzi za SADC (SEOM)
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Hoteli ya Kitalii ya Bawe Island the Cocoon Collection iliyopo katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar
Mhe. Dkt. Samia ashiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao, Ikulu Tunguu, Zanzibar
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) kwa njia ya Mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar