Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA KWENYE MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CHEMBA YA BIASHARA YA QATAR MUHAMMED BIN AHMED AL KUWARI PAMOJA NA UJUMBE WAKE, DOHA NCHINI HUMO TAREHE 06 OKTOBA, 2022.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI SIKU YA PILI YA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI (WORLD INNOVATION SUMMIT FOR HEALTH) PAMOJA NA KUITEMBELEA HOSPITALI YA SIDRA ILIYOPO DOHA NCHINI QATAR TAREHE 05 OKTOBA, 2022.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA FEDHA WA QATAR AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KATARA HOSPITALITY MHE. ALI BIN AHMED AL KUWARI, DOHA NCHINI QATAR
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA KIONGOZI WA TAIFA LA QATAR SHEIKH TAMIM BIN HAMAD AL THANI, DOHA NCHINI HUMO TAREHE 04 OKTOBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI (WISH), DOHA NCHINI QATAR TAREHE 04 OKTOBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE -3 OKTOBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, AMUAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI, JAJI WA MAHAKAMA KUU, MWENYEKITI PAMOJA NA WAJUMBE WA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 01 OKTOBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KWENYE HAFLA YA UTIAJI SAINI MKATABA WA USIMAMIAJI WA SHUGHULI ZA LISHE (TAMISEMI) JIJINI DODOMA TAREHE 30 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI, NEMBO YA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI PAMOJA NA MFUMO RASMI WA OFISI HIYO KATIKA MKUTANO MKUU WA MAWAKILI WA SERIKALI JIJINI DODOMA TAREHE 29 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA WA NCHI YA MSUMBIJI (MOZAMBICAN HEROES’ SQUARE) TAREHE 21 SEPTEMBA, 2022.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI MSUMBIJI 22 SEPTEMBA, 2022.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AANZA ZIARA RASMI YA KISERIKALI, MAPUTO NCHINI MSUMBIJI TAREHE 21 SEPTEMBA, 2022