Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Rais Samia Akutana na Viongozi Na Wawekezaji wa Makampuni Mbalimbali Nchini China
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha China mjini Beijing, tarehe 5 Septemba, 2024.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mhe. Wang Huning, Beijing nchini China
Rais Mhe. Dkt. Samia Akutana Na Kufanya Mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Beijing nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC)
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria katika Mashindano ya Dunia ya Qur’an tukufu kwa Wanawake yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma Jijini Arusha
Rais Dkt Samia Ahutubia Wakati wa Hafla ya Uzinduzi ya Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya Anayewania Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU)
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Wananchi wakati wa Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja Zanzibar