Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Viongozi Wakuu wa Makampuni mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia azindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wa Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Dkt. Samia ahitimisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma kwa kuhutubia wananchi katika uwanja wa Majimaji
Rais Dkt. Samia afunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa
Rais Dkt. Samia azindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishukuru mara baada ya kusomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma leo tarehe 27 Septemba, 2024.
Rais Dkt. Samia azungumza na wanachi wa Tunduru mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia afungua Soko la Madini, Wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na Wananchi wa Matemanga, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na Wananchi wa Mchomoro, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na Wananchi wa Rwinga, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma