Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI NCHINI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 23 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMFARIJI MZEE MALECELA NYUMBANI KWAKE KILIMANI, MKOANI DODOMA TAREHE 22 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA RASMI IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 20 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU (AFRICA HEADS OF STATE HUMAN CAPITAL SUMMIT) TAREHE 19 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MRADI WA MINARA YA KURUSHA MATANGAZO YA TELEVISHENI ARDHINI (DTT) YA KAMPUNI YA AZAM MEDIA LTD, JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 18 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA MISRI MHE. ABDEL FATTAH EL SISI, IKULU DAR ES SALAAM TAREHE 18 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA VIONGOZI PAMOJA NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU BERNARD KAMILIUS MEMBE, KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 15 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA KUPELEKA HUDUMA YA MAWASILIANO VIJIJINI KATI YA SERIKALI NA MAKAMPUNI YA SIMU KWENYE HAFLA ILIYOFANYIKA JIJINI DODOMA TAREHE 13 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI NAMIBIA ‘DIASPORA’ TAREHE 09 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC) ORGAN TROIKA, SADC TROIKA NA NCHI ZINAZOCHANGIA VIKOSI VYA JESHI KATIKA FORCE INTERVENTION BRIGADE (FIB) WINDHOEK NCHINI NAMIBIA TAREHE 08 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIONGOZA KIKAO CHA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI KINACHOHUSU KUANZA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 06 MEI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI AMBAYO KITAIFA YAMEFANYIKA KATIKA UWANJA WA JAMHURI MKOANI MOROGORO TAREHE 01 MEI, 2023