Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) katika maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awatunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (BMS), Maafisa wanafunzi Kundi la 05/21 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya Kikazi
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apiga kura katika Kituo cha kupiga kura kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia aweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith Mkoani Morogoro
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi 10 wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Mzumbe- Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atunukiwa shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Morogoro kwa kutumia usafiri wa Treni ya SGR
Matukio mbalimbali ya Mkutano Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20 ambao Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki kuanzia tarehe 18-19 , Novemba, 2024, Rio de Janeiro nchini Brazil
Rais Dkt. Samia Atembelea Kariakoo na Kuwajulia Hali Majeruhi wa Ajali
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20 nchini Brazil