Rais Dkt. Samia ahutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda
Rais Dkt. Samia akutana na kuzungumza na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Luanda
Rais Dkt. Samia atembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola Hayati António Agostinho Neto, Public Square Jijini Luanda
Rais Dkt. Samia awasili Jijini Luanda nchini Angola kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku 3 nchini humo
Rais Dkt. Samia azindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia ahutubia katika Baraza la Eid El Fitr lililofanyika Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia aswali Swala ya Eid El Fitr katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mohamed VI) Kinondoni Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi 8 wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia apokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023-2024 pamoja na Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) tarehe 27 Machi, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia akutana na kuzungumza na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA)
Rais Dkt. Samia apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Tshisekedi Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia ashiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwa njia ya mtandao