Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Tanzania Jijini Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia azindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia atunuku Nishani za Muungano kwa Viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia asaini Tamko la Toleo la Sheria zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria ya Urekebu wa Sheria, Sura ya Nne, Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia akutana na Kuzungumza na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia akutana na Kuzungumza na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia ahitimisha Ziara yake ya Kiserikali nchini Angola kwa kutembelea Kiwanda cha Mafuta cha Luanda Oil Refinery nchini humo
Rais Dkt. Samia ahutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda
Rais Dkt. Samia akutana na kuzungumza na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Jijini Luanda
Rais Dkt. Samia atembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola Hayati António Agostinho Neto, Public Square Jijini Luanda
Rais Dkt. Samia awasili Jijini Luanda nchini Angola kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku 3 nchini humo