Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma Jijini Arusha
Rais Dkt Samia Ahutubia Wakati wa Hafla ya Uzinduzi ya Kampeni ya Mhe. Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya Anayewania Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU)
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Wananchi wakati wa Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja Zanzibar
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Azindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam Kizimkazi
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Zoezi la Medani katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Pongwe Msungura, Msata mkoani Pwani
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Suluhu Sports Academy Kizimkazi, Zanzibar
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga mafunzo ya Kilimo bishara , ufugaji, uvuvi ujasiriamali, utalii pamoja Sanaa wakati wa Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja Zanzibar
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Afungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makunduchi Kusini Unguja, Zanzibar
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan arejea nchini mara baada ya kushiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Harare nchini Zimbabwe
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Harare nchini Zimbabwe
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), Harare nchini Zimbabwe