Rais Dkt. Samia azungumza na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo sungusungu, waendesha bodaboda na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Tabora, Shinyanga, Simiyu, Geita na Mwanza, katika mkutano uliofanyika tarehe 20 Juni, 2025 katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Rais Dkt. Samia azindua Mradi wa Chanzo na Kituo cha kutibu maji cha Butimba uliotekelezwa chini ya Programu ya Maji na usafi wa Mazingira ya Ziwa Victoria (LVWTSAN)
Picha mbalimbali za Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo - Busisi)
Rais Dkt. Samia Akihutubia Wananchi baada ya Ufunguzi wa Daraja la John Pombe Magufuli Jijini Mwanza, tarehe 19 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Afungua Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi), Jijini Mwanza, tarehe 19 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia akihutubia wananchi wa Mkoa wa Simiyu katika majumuisho ya ziara yake mkoani humo, tarehe 19 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, Wilayani Itilima, Mkoani Simiyu, tarehe 18 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Ahutubia Wananchi wa Wilaya ya Maswa, Mkoani Simiyu, tarehe 18 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afungua Hospitali ya Wilaya na Kuhutubia Wananchi wa Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, tarehe 17 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Ahutubia Wananchi wa Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu, tarde 17 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia azindua Kiwanda cha Kuchakata Pamba cha Biosustain Tanzania Limited, Meatu, Mkoani Simiyu, tarehe 17 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Azindua Mradi wa Maji Lamadi, Wilaya ya Busega, na Kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi Mkoani Simiyu, tarde 19 Juni, 2025