Hayati Dkt. John P. Magufuli alizaliwa Oktoba 29, 1959 Wilayani Chato Mkoa wa Kagera ambayo hivi sasa ipo Mkoa wa Geita. Dkt. Magufuli amemuoa Mwalimu Janet na wamejaliwa kupata watoto. kazi Harakati zake za kisiasa zilianza mwa...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa tarehe 7 Oktoba mwaka 1950 Msoga, mkoa wa Pwani, mtoto wa sita katika familia ya watoto tisa. Amemuoa mama Salma Kikwete na wamebarikiwa watoto nane. Kazi Mwaka 1976 alijiunga na Chuo...
Hayati Benjamin William Mkapa aliongoza awamu ya tatu na ni Rais wa kwanza aliyechaguliwa katika uchaguzi ulioshirikisha vyama vingi vya siasa tangu mfumo huo uliporejeshwa mwaka 1992. Aliingia rasmi madarakani Oktoba 1995. Mheshimiwa Mkapa ali...
Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi aliyeongoza Serekali ya Awamu ya Pili aliingia madarakani rasmi tarehe 5 Novemba 1985. Mheshimiwa Alhaj Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Mkuranga, mkoa wa Pwani tarehe 5 mei, 1925. &nbs...
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alizaliwa tarehe 13 Aprili, mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma katika Mkoa wa Mara. Alikuwa mtoto wa Chifu Nyerere Burito na Bibi Christina Mugaya Wanyang’ombe.&nb...