Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

  • Jul 11, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Norway anayemaliza muda wake hapa nchini Hanne-Marie Kaarstad mara baada...

Soma zaidi
  • Jul 08, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na yakisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuli...

Soma zaidi
  • Jul 07, 2018

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kund...

Soma zaidi
  • Jul 03, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Wakuu mbalimbali wakiwemo, Marais Wastaafu, Makamu wa...

Soma zaidi
  • Jul 03, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kabla ya kikao Ikulu jijini Dar es Salaam.Ju...

Soma zaidi
  • Jul 02, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kangi Lugola kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ikulu jijini Dar es Salaam.(Bofy...

Soma zaidi
  • Jul 02, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikisoma kitabu mara baada ya kukizundua rasmi kitabu hicho cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “...

Soma zaidi
  • Jul 01, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mstaafu Mhe. Thomas Mihayo, ambaye nii mmoja wa wazee wa kanisa alipounga...

Soma zaidi
  • Jun 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Juli...

Soma zaidi
  • Jun 28, 2018

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akipunga mkono kwa wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili nchini kw...

Soma zaidi
  • Jun 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akionyesha hundi ya fedha kwaajili ya gawio la la Serikali la mwaka aliyokabidhiwa n...

Soma zaidi
  • Jun 12, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally na Balozi wa Mororcco nchini Mhe. Ab...

Soma zaidi
  • Jun 04, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Majaji watatu aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanz...

Soma zaidi
  • May 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

Soma zaidi
  • May 28, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Mufti wa Tanzania Sheikh...

Soma zaidi
  • May 27, 2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Katibu mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana mara baada ya mazungumzo yao...

Soma zaidi
  • May 26, 2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula mara baada ya kumaliza m...

Soma zaidi
  • May 25, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na...

Soma zaidi
  • May 21, 2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wajumbe wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM alipokutana nao na kupokea ripo...

Soma zaidi
  • May 21, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kuzungumza na Mbunge Mhe.Stephen Masele amb...

Soma zaidi