Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Bi.Asteria Kapela walipokwenda kutoa pole kwa Familia ya Mkurugenzi wa Makampuni ya Global group, Erick Shigongo kwa kufiwa na Mama yake mzazi,Mikocheni B Jijini Dar es salaam.Julai 29,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-