Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara mara baada ya kuwasili kwa ndege katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.(Bofya blog kwa habari na picha)


-