Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Jaji Kiongozi Dkt. Fereshi wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu, Naibu makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Katibu wa Mikoa walioapishwa kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 1, 2018(Bofya blog kwa habari na picha)


-