Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa
Rais Samia Suluhu ahutubia Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa
Rais Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya Kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya kupikia kwa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kiwanda cha kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA, Nairobi Nchini Kenya I
Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Nairobi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kwenye ziara rasmi ya Kiserikali nchini Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan azindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan Atunuku Nishani Viongozi Mbalimbali katika shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.