Rais Dkt. Samia atembelea Maonesho ya Kitaifa ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2025
Rais Dkt. Samia azindua Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo Jijini Dodoma, tarehe 08 Agosti, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mabalozi wa Algeria, Sudan na Uhispania wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 06 Agosti, 2025
Rais Dkt. Samia afungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), Ubungo Jijini Dar es Salaam, tarehe 01 Agosti, 2025
Rais Dkt. Samia azindua usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Kwala mkoani Pwani, tarehe 31 Julai, 2025
Rais Dkt. Samia Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani, Namtumbo, tarehe 30 Julai, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Shirika la Fedha kwa ajili ya ujenzi, la Korea (K-FINCO) Dkt. Eun -Jae Lee Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 26 Julai, 2025
Rais Dkt. Samia Aongoza Sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa, mkoani Dodoma, tarehe 25 Julai, 2025
Rais Dkt. Samia Akutana na Kufanya Mazungumzo na Uongozi wa Miss World Ltd, Zanzibar, tarehe 20 Julai, 2025
Rais Dkt. Samia Azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, tarehe 17 Julai, 2025, Dodoma
Rais Dkt. Samia Aongoza Kikao cha Mwisho cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 14 Julai, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Congo - Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso, Ikulu Jijini Dar es Salaam