Rais Dkt. Samia Aongoza Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji
Rais Dkt. Samia Akiwasili Jijini Maputo Kushiriki Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Msumbiji, tarde 24 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora na Kufungua Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa, lililofanyika Kisesa, mkoani Mwanza, tarehe 21 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia azungumza na makundi mbalimbali ya jamii wakiwemo sungusungu, waendesha bodaboda na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Tabora, Shinyanga, Simiyu, Geita na Mwanza, katika mkutano uliofanyika tarehe 20 Juni, 2025 katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Rais Dkt. Samia azindua Mradi wa Chanzo na Kituo cha kutibu maji cha Butimba uliotekelezwa chini ya Programu ya Maji na usafi wa Mazingira ya Ziwa Victoria (LVWTSAN)
Picha mbalimbali za Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo - Busisi)
Rais Dkt. Samia Akihutubia Wananchi baada ya Ufunguzi wa Daraja la John Pombe Magufuli Jijini Mwanza, tarehe 19 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Afungua Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi), Jijini Mwanza, tarehe 19 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia akihutubia wananchi wa Mkoa wa Simiyu katika majumuisho ya ziara yake mkoani humo, tarehe 19 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwamapalala, Wilayani Itilima, Mkoani Simiyu, tarehe 18 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Ahutubia Wananchi wa Wilaya ya Maswa, Mkoani Simiyu, tarehe 18 Juni, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afungua Hospitali ya Wilaya na Kuhutubia Wananchi wa Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, tarehe 17 Juni, 2025