Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tovuti Rasmi ya Rais
Ofisi ya Rais - Ikulu

Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara

Je naweza kutumia njia gani kutuma barua ya mwaliko,kuunga mkono,pendekezo,maoni,pendekezo au kukata rufaa kwa Rais?

 • Barua unaweza tuma kwenda:

  Rais

  S.L.P 9120

  DAR ES SALAAM

  Simu: 0222116898/02222116900/6

  Barua pepe: ikulu@ikulu.go.tz

Naweza wasiliana vipi na Rais?

 • Unaweza wasiliana na President kwa kutumia barua pepe: ikulu@ikulu.go.tz 

Nitapataje hotuba zote za Rais?

 • Hotuba zote za Rais zinapatikana hapa hapa katika kipengele cha habari na matukio

Nitatumaje mapendekezo na maoni kwa Rais?

 • Tafadhari tumia fomu ya mrejesho  iliyopo kwenye kipengele cha wasiliana nasi.

Ipi ni anwani na namba ya simu ya ofisi ya Rais?

 • S.L.P 9120
  Dar es salaam
  Simu : 0222116898
  Simu : 02222116900/6
  Barua pepe : ikulu@ikulu.go.tz