Rais Dkt. Samia awasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro, (KIA) safarini kuelekea Arusha, tarehe 21 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia awaapisha viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 21 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia Azindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2025
Rais Dkt. Samia awaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia atangaza Baraza la Mawaziri, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 17 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua na kuhutubia Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehee 14 Novemba, 2025, mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarde 14 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 06 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia amuapisha Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 05 Novemba, 2025
Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 03 Novemba, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 29 Oktoba, 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea Tuzo ya Presidential Global Water Changemakers 2025, Ikulu Tunguu Zanzibar