Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Kilichofanyika Ikulu Chamwino Dodoma.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Machifu wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Mlowo -Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Wananchi wa Mlowo, Mbozi Mkoani Songwe
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Wananchi wa Tunduma na Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kurejea Mkoani Dodom
ais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Wananchi wa Mkoa wa Rukwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Kampasi ya Rukwa
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Laela Mkoani Rukwa
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi upanuzi na ukarabati wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga Mkoani Rukwa
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la Msingi upanuzi na ukarabati wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga Mkoani Rukwa
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Barabara ya Sumbawanga, Matai-Kasanga (km107) Mkoani Rukwa