Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amkaribisha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt Samia akutana na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdullah Bin Al Nahyan
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa Mkoani Singida
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Benki ya Ushirika Tanzania Jijini Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia azindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia atunuku Nishani za Muungano kwa Viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia asaini Tamko la Toleo la Sheria zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 12 cha Sheria ya Urekebu wa Sheria, Sura ya Nne, Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia akutana na Kuzungumza na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia akutana na Kuzungumza na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam