Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi na Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria aliosafiri nao wakati akielekea Ankara nchini Uturuki kwa ajili ya Ziara Rasmi
Rais Ashiriki Msiba wa Mzee Mussa Abdulrahman, Unguja Zanzibar
Rais Samia Atembelea Majirani Zake Mtaa Wa Mombasa, Unguja
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Aongoza Kikao Maalum Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine, Monduli Mkoani Arusha
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye Baraza la Eid El Fitr lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan aswali swala ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata, Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Miaka 30 tangu kutokea Mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mjasiriamali Maanayata Dutt na pia mke wa mwigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt
Rais Samia Suluhu Hassan apokea Hundi ya Shilingi Milioni 500 kutoka kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar kwa ajili ya Timu za Taifa za Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Mhe.Helen Clark ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand, Ikulu Jijini Dar es Salaam.