Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Aongoza Kikao Maalum Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine, Monduli Mkoani Arusha
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye Baraza la Eid El Fitr lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan aswali swala ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata, Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Miaka 30 tangu kutokea Mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mjasiriamali Maanayata Dutt na pia mke wa mwigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt
Rais Samia Suluhu Hassan apokea Hundi ya Shilingi Milioni 500 kutoka kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar kwa ajili ya Timu za Taifa za Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Mhe.Helen Clark ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan azindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan afuturisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Dua Maalum iliyoandaliwa na Wanawake wa Kisiwani Pemba iliyofanyika katika Uwanja Tibirizi Chakechake