Rais Dkt. Samia azindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishukuru mara baada ya kusomewa Dua katika Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma leo tarehe 27 Septemba, 2024.
Rais Dkt. Samia azungumza na wanachi wa Tunduru mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia afungua Soko la Madini, Wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na Wananchi wa Matemanga, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na Wananchi wa Mchomoro, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na Wananchi wa Rwinga, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia azungumza na wananchi wa Litola, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
Rais Dkt. Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Bandari mpya Mbamba Bay na Ufunguzi wa Barabara ya Mbinga – Mbamba Bay
Rais Dkt. Samia Afungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
Rais Dkt. Samia atembelea Kanisa la Mt. Benedicto, Parokia ya Peramiho, Jimbo Kuu la Songea
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea Mkoani Ruvuma