Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Mhe. Rais Dkt. Samia awasili Harare Zimbabwe
Rais Samia Akutana na Kuzungumza Pamoja na Kula Chakula cha Mchana na Waokoaji wa Ajali ya Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo
Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na viongozi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa Tuzo kwa Mlipakodi Bora wa Mwaka 2023/24 kwenye hafla iliyofanyika katika ukumbi wa The Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan apokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Djibouti, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa Treni ya SGR kutokea Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus Wazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma