Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

ZIARA YA BURUNDI
Mhe. Rais Samia Akutana Na Naibu Mkurugenzi Mtendaji Mpango Wa Mazingira (UNEP)
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo (CCT), Kilakala Mkoani Morogoro tarehe 08 Julai, 2021
ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MKOANI MOROGORO TAREHE 07-08 JULAI, 2021
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu Makampuni ya Barrick Gold Bw. Mark Bristow
Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakimsikiliza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan
Rais Samia awasili Jijini Dodoma kutoka Dar es Salaam
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia mpamano wa Simba na Yanga Jijini Dar es Salaam
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ahudhuria ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili jijini Dar es Salaam Kushiriki ibada ya Kuaga Mwili wa Marehemu Mhandisi Patrick Mfugale leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi, inayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka 2022, kutoka kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa, Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum inayohusu matumizi ya Fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kati ya mwezi Januari na Machi mwaka 2021, kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere Jijini Dodoma.