Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI, NEMBO YA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI PAMOJA NA MFUMO RASMI WA OFISI HIYO KATIKA MKUTANO MKUU WA MAWAKILI WA SERIKALI JIJINI DODOMA TAREHE 29 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA WA NCHI YA MSUMBIJI (MOZAMBICAN HEROES’ SQUARE) TAREHE 21 SEPTEMBA, 2022.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI MSUMBIJI 22 SEPTEMBA, 2022.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AANZA ZIARA RASMI YA KISERIKALI, MAPUTO NCHINI MSUMBIJI TAREHE 21 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS WA JAMHURI YA KENYA DKT. WILLIAM SAMOEI RUTO, NAIROBI NCHINI KENYA TAREHE 13 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI NAIROBI KWA AJILI YA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA KENYA DKT. WILLIAM SAMOEI RUTO TAREHE 13 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE NA VIJANA WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA (AFCFTA), JNICC JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 12 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA JUBILEE YA MIAKA 50 YA UMOJA WA WANAWAKE WAKATOLIKI TANZANIA (WAWATA) JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 11 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUATIA KIFO CHA MALKIA ELIZABETH II WA UINGEREZA, OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 09 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA (NDC), KUNDUCHI JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 08 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NORWAY ANAYESHUGHULIKIA MAENDELEO YA KIMATAIFA NA MASUALA YA NORDIC, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 08 SEPTEMBA, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 06 SEPTEMBA, 2022