Rais Samia Suluhu Hassan Amuaga mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi afungua Rasmi Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) tarehe 03 Julai, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan ampokea mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan Atoa Mhadhara Katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ampokea Rais wa Jamhuri y Guinea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan arejea Nchini mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili kwenye hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Viwanja vya Jengo la Umoja Pretoria nchini humo
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan awasili Pretoria nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan asherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na Wajukuu Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea Taarifa ya Tume ya Haki Jinai, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma