Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Rasmi Miundombinu ya Reli na Huduma za Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Ngerengere na Morogoro Mjini akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR)
Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam - Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) Jeremiah Yoram Katungu kuwa Mkuu wa Jeshi hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam
JNICC- Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Kilichofanyika Ikulu Chamwino Dodoma.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Machifu wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Mlowo -Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia Wananchi wa Mlowo, Mbozi Mkoani Songwe