Taswira ya Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo -Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika eneo la Kigongo, Misungwi, mkoani Mwanza, tarehe 19 Juni, 2025.