Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Ikulu

Dkt. Jakaya M Kikwete

Wasifu

Kurasa Mashuhuri
Anuani ya Ikulu

Ofisi ya Rais Ikulu,

1Barabara ya Barack Obama,

11400 Dar es salaam

Simu : 0222116898

Simu : 0222116900/6

Nukushi: 0222113425/

2116910/2117272

Barua pepe : ikulu@ikulu.go.tz

Karibu

Karibu kwenye Tovuti rasmi ya Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu. Ofisi hii inatambua umuhimu wa taarifa kwa wananchi katika kuibua mawazo mapya yanayoweza kuchangia maendeleo ya nchi. Tovuti hii imetayarishwa ili  kukurahisishia kupata  taarifa bure kuhusu shughuli za kila siku za Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazoboreshwa mara kwa mara.

Kwa kuzingatia dhamira ya Rai Soma zaidi

Taarifa kwa vyombo vya Habari

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika. ...

Soma zaidi

Nukuu ya Leo

" Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ni kiongozi wa watu. Tabia na mwenendo wake vina nafasi maalum katika uwezo wake wa kuongoza.  Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya mwenye tabia na mwenendo mbaya  heshima yake hushuka mbele ya macho na mioyo ya jamii hivyo uwezo wake wa kuongoza hupungua.  Jamii humuona kwa yale maovu anayoyafanya.  Mara nyingi mtu wa namna hiyo anapofanikiwa ni k

Nukuu ya :
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete