Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

ROYAL TOUR MANYARA NA KILIMANJARO TAREHE 05 SEPTEMBA, 2021
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI TEGETA, DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO, PWANI
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIJUMUIKA PAMOJA NA WANANCHI MBALIMBALI KATIKA UKUMBI WA MJI MKONGWE ZANZIBAR LEO TAREHE 29 AGOSTI,2021,
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI KATIKA KILELE CHA TAMSHA LA KIZIMKAZI LILILOFANYIKA LEO TAREHE 28 AGOSTI, 2021 KATIKA KIJIJI CHA KIZIMKAZI MKOA WA KUSINI UNGUJA.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI WA TANO WALIOTEULIWA KUZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI WENYE MAKAZI JIJINI NAIROBI, NCHINI KENYA LEO TAREHE 26 AGOSTI, 2021 IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM.
MHE. RAIS SAMIA AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA NCHI MBALIMBALI HAPA NCHINI (NIGERIA, UHOLANZI, INDIA, BURKINA FASO NA GUINEA) TAREHE 25 AGOSTI, 2021.
MHE. RAIS SAMIA AFUNGUA KIKAO CHA KAZI CHA TATHMINI YA MWAKA MMOJA JESHI LA POLISI NCHINI TAREHE 25 AGOSTI, 2021
MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMEHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA SABA (7) WA ZAMBIA MHE. HAKAINDE HICHILEMA, JIJINI LUSAKA NCHINI ZAMBIA TAREHE 24 AGOSTI, 2021.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA KOMBE LA UBINGWA WA CECAFA -2021 KUTOKA KWA TIMU YA TAIFA YA VIJANA U23
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIPOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 28 OKTOBA, 2021.
UAPISHO WA VIONGOZI WATEULE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 21 AGOSTI, 2021
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA 41 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC) ULIOFANYIKA TAREHE 17 – 18 AGOSTI,2021.