Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Maktaba ya Picha

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA PAMOJA NA MCHAKATO WA UKUSANYAJI MAONI KUTOKA KWA WANANCHI KUHUSU DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA MAENEO YALIOATHIRIKA NA MAFURIKO KATESH, WILAYA YA HANANG MKOANI MANYARA
RAIS SAMIA AKIWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIA TAYARI KUELEKEA KATESH WILAYANI HANANG TAREHE 7 DESEMBA, 2023
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA KILIMO UNAOJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI PEMBEZONI MWA MKUTANO WA (COP28), DUBAI KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MICHAEL BLOOMBERG, KANDO YA MKUTANO WA COP28, DUBAI, KATIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ITAKAYOWASAIDIA WANAWAKE BARANI AFRIKA (AWCCSP), KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE)
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28) KATIKA JIJI LA DUBAI EXPO 2023
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASALIMIANA NA WANANCHI NDANI YA MELI YA MV KILIMANJARO 8 ALIPOKUWA AKISAFIRI KUTOKA ZANZIBAR KWENDA DAR ES SALAAM
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAPONGEZA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA ZANZIBAR CHINI YA UMRI WA MIAKA 15 (KARUME BOYS) IKULU TUNGUU ZANZIBAR
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA KAWAIDA WA 23 WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) NGURDOTO MKOANI ARUSHA
RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) UNAOJADILI MASUALA YA TABIANCHI NA USALAMA WA CHAKULA MKOANI ARUSHA
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI KILICHOFANYIKA IKULU CHAMWINO DODOMA