Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ahudhuria ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awasili jijini Dar es Salaam Kushiriki ibada ya Kuaga Mwili wa Marehemu Mhandisi Patrick Mfugale leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi, inayotarajiwa kufanyika mwezi Agosti mwaka 2022, kutoka kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa, Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum inayohusu matumizi ya Fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kati ya mwezi Januari na Machi mwaka 2021, kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, afungua Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara, Ikulu Dar es Salaam tarehe 26 Juni, 2021.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC) KURASINI MKOANI DAR ES SALAAM
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA SADC -MAPUTO NCHINI MSUMBIJI TAREHE 23 JUNI, 2021
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWASILI NCHINI MSUMBIJI
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU CHAMWINO, DODOMA
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DODOMA
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA NA KUKAGUA DARAJA LA JPM (KIGONGO-BUSISI) MKOANI MWANZA TAREHE 14 JUNI, 2021.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATEMBELEA NA KUKAGUA DARAJA LA JPM (KIGONGO-BUSISI) MKOANI MWANZA TAREHE 14 JUNI, 2021.