MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA MABALOZI , IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 16 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI (SAFINA HOUSE) LA KANISA ANGLIKANA TANZANIA, DAYOSISI YA CENTRAL TANGANYIKA, JIJINI DODOMA TAREHE 15 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS) IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA TAREHE 14 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAANDALIA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA KUTOKA CALIFORNIA NCHINI MAREKANI AMBAO WANATOA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA SELIAN LUTHERAN ILIYOPO MKOANI ARUSHA TAREHE 13 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA KUNDI LA MAKAMPUNI YA VODACOM AFRIKA BW. MOHAMED SHAMEEL JOOSUB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 11 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MKONGO WA MAWASILIANO WA BAHARINI (SUBMARINE CABLE) WA 2AFRIKA PAMOJA NA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO YA KASI YA 5G YA KAMPUNI YA MAWASILIANO NA SIMU ZA MKONONI YA AIRTEL JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 10 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKAGUA MABANDA MBALIMBALI KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA WAKULIMA NANE NANE YALIYOFANYIKA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA JOHN MWAKANGALE JIJINI MBEYA TAREHE 08 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI MBEYA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA NANE NANE 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA TAMASHA LA SIMBA DAY 2023 LILILOFANYIKA KATIKA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA, TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 06 JULAI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA ZIMBABWE MHE. EMMERSON MNANGAGWA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 04 AGOSTI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMBIA MHE. MUTALE NALUMANGO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 27 JULAI, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU (AFRICA HEADS OF STATE HUMAN CAPITAL SUMMIT) JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 26 JULAI, 2023