ZIARA YA KITAIFA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MJI WA NEW DELHI NCHINI INDIA TAREHE 09 OKTOBA, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA INDIA MHE. DKT. SUBRAHMANYAM JAISHANKAR, NEW DELHI NCHINI HUMO
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NEW DELHI NCHINI INDIA KWA AJILI YA ZIARA YA KITAIFA
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWA SAFARINI KUELEKEA NEW DELHI NCHINI INDIA KWA AJILI YA ZIARA YA KITAIFA TAREHE 08 OKTOBA, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA POWER HOLDING, DOHA NCHINI QATAR TAREHE 03 OKTOBA, 2023
MHE. RAIS SAMIA AMTEMBELEA ALIYEKUWA MKE WA MFALME WA QATAR SHEIKHA MOZA BINT NASSER JIJINI DOHA NCHINI QATAR TAREHE 03 OKTOBA, 2023
MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA (DOHA INTERNATIONAL HORTICULTURE EXPO 2023) NCHINI QATAR TAREHE 02 OKTOBA, 2023
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA MAKAMU WAKUU WA VYUO VIKUU VYA UMMA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, TAREHE 29, SEPTEMBA 2023.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 26 SEPTEMBA, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI 6 WANAOZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA TANZANIA, IKULU DAR ES SALAAM TAREHE 25 SEPTEMBA, 2023
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA KIWANDA CHA VIOO CHA SAPPHIRE FLOATING GLASS KILICHOPO MKURANGA MKOANI PWANI TAREHE 20 SEPTEMBA, 2023.
MHE. SAMIA RAIS SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI KWIRIRI NA KIBITI MKOANI PWANI TAREHE 20 SEPTEMBA, 2023