Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Adani Group kutoka nchini India Gautam Adani, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2024/25 kwa njia ya Runinga, nyumbani kwake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mgombea Urais wa Msumbiji kwa Chama cha FRELIMO Ikulu Chamwino Dodoma
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za Umma, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano maalum wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es salaam
Rais Samia Suluhu Hassan azungumza na (Diaspora) Watanzania wanaoishi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea Jijini Seoul
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Biashara Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu kati ya Korea na Afrika Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea
Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Korea na Afrika, Kintex nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil, Jijini Seoul
Rais Samia Suluhu Hassan atunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima kwenye Sekta ya Anga (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) kilichopo Seoul Jamhuri ya Korea
Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya POSCO Jijini Seoul Korea