Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

ZIARA YA RAIS JAKAYA KIKWETE MKOANI TANGA


RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE  KUIFUNGUA BARABARA YA MKATA -  HANDENI MKOANI TANGA  LEO TAREHE.23MACHI 2014 AMBAYO UJENZI WAKE UMEKAMILIKA KWA KIWANGO CHA LAMI YENYE UREFU WA KILOMETA 53,2.  AIDHA ATAFUNGUA BARABARA YA HANDENI - KOROGWE AMBAYO PIA UJENZI WAKE UMEKAMILIKA KWA KIWANGO CHA LAMI AMBAYO INA UREFU WA KILOMETA 65. MNAMO TAREHE 24 MACHI  2014 MHE RAIS ATAWEKA JIWE LA MSING KUZINDUA RASMI UJENZI WA BARABARA KATI YA KOROGWE NA MKUMBARA YENYE UREFU WA KILOMETA 76