Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakipiga picha msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison (chini kushoto) na viongozi wengine wakati wakielekea kukagua magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam, Machi 26, 2018.


-