Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein wakiwa na 'mlima' wa makabrasha ya ripoti ya uhakiki wa mali za chama baada ya kukabidhiwa na tume aliyounda kuchunguza mali hizo ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-