Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua paredi ya maafisa wapya kundi la 61/16 kabla ya kuwatunuku kamisheni kuwa maafisa wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa shekhe Amri Abeid Arusha Septemba,23 ,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)
-