Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akiwa na Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Iseni B Salma Yasin ambaye alielezea vizuri kero mbalimbali za Shule yao na kufanikiwa kuchangiwa kiasi cha Shilingi milioni 5 na Mhe. Rais Dkt. Magufuli.(Bofya blog kwa habari na picha)

-