Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wadau mbalimbali wa biashara kutoka Uganda na Tanzania katika mkutano wao wa majadiliano uliofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam.

-