Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza huku akiwa ameshika Kitambulisho cha Mjasiriamali mdogo (Mmachinga) ambae amedai kuwa bado wanatozwa ushuru. Rais Dkt. Magufuli amepiga marufuku kudai ushuru kwa wafanyabiashara wote wenye vitambulisho hivyo ambao mtaji wao hauzidi Shilingi milioni 4.


-