Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Uyovu- Bwanga- Km 45 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika eneo la Uyovu mkoani Geita.Machi 10,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)

-