Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Bi.Anna Elisha Mgwila mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na Bw.Mrisho Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA kabla ya kuanza safari ya kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha ,Septemba 25,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-