Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni wakiangalia mabanda mbalimbali ya wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara wa Mataifa hayo katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam.


-