Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika meli ya matibabu kutoka China waliokuja nchini kwaajili ya kutoa matibabu mbalimbali kwa watanzania Bandalini Jijini Dar es salaam Novemba 26,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)

-