Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa kuashia ufunguzi rasmi wa ukuta katika eneo la Mgodi wa Madini ya Tanzanite ulipo Mirerani-Simanjiro mkoani Manyara.Aprili 6,2018. (Bofya blog kwa habari na picha)


-